Kainetics
banner
kainetics.bsky.social
Kainetics
@kainetics.bsky.social
Kainetics Blog 🇹🇿 || Maisha || Ujasiriamali || Kujiajiri Online || Digital Skills || Simple Tutorials || Vyote kwa Lugha Ya Kiswahili
Namna Tatu Za Uhakika Unazoweza Tumia Kupokea Malipo Mtandaoni Kama Mbadala wa PayPal

Moja ya kikwazo kikubwa kinachotuface kama watanzania ikija swala zima la kujiajiri mtandaoni, iwe ni kwa kufanya Freelancing au Affiliate Marketing au issue yeyote itakayokutaka kupokea pesa kutoka nje ya nchi,…
Namna Tatu Za Uhakika Unazoweza Tumia Kupokea Malipo Mtandaoni Kama Mbadala wa PayPal
Moja ya kikwazo kikubwa kinachotuface kama watanzania ikija swala zima la kujiajiri mtandaoni, iwe ni kwa kufanya Freelancing au Affiliate Marketing au issue yeyote itakayokutaka kupokea pesa kutoka nje ya nchi, ni kwamba PayPal kwetu hairuhusu kupokea malipo, bali kutuma tu. Ila hii isikukatishe tamaa, kwenye makala hii nitaongelea njia tatu mbadala unaweza kutumia kupokea malipo mtandaoni. Ukiweza kusoma hadi mwisho kabisa, kama bado unatamani kuwa na PayPal inayoweza kutuma na kupokea pesa, nitakuelekeza ni namna gani unaweza kufanya hivyo japo ina gharama kidogo.
kainetics.blog
July 4, 2025 at 5:17 PM
Jinsi Ya Kuingiza Million Yako Ya Kwanza Mtandaoni Kwa Mwaka 2025

Habari, karibu kwenye post hii fupi ya leo ambapo nitaelezea ni namna gani unaweza kujiingizia million yako ya kwanza mtandaoni kwa mwaka 2025 bila kona kona. Kama ni mtu ambae amekua akitamani kujiingizia pesa mtandaoni, au kutumia…
Jinsi Ya Kuingiza Million Yako Ya Kwanza Mtandaoni Kwa Mwaka 2025
Habari, karibu kwenye post hii fupi ya leo ambapo nitaelezea ni namna gani unaweza kujiingizia million yako ya kwanza mtandaoni kwa mwaka 2025 bila kona kona. Kama ni mtu ambae amekua akitamani kujiingizia pesa mtandaoni, au kutumia mitandao kujiajiri, na umekua ukiskia haya mambo lakini hufahamu inawezekanaje, au umejaribu mara kadhaa na kuishiwa kutapeliwa, basi unaweza soma makala hii kwa umakini;
kainetics.blog
July 2, 2025 at 9:34 AM
Jinsi Ya Kujiingizia Pesa Mtandaoni Kutumia Simu Yako Ya Mkononi

Kutumia simu yako kujiingizia pesa mtandaoni ni jambo linalowezekana ukiwa unajua unabidi ufanye nini na mambo gani uyaepuke kabisa. Tuko kwenye kizazi cha kidigitali, ambapo mitandao, ikitumika vizuri, inaweza kutumika kama njia…
Jinsi Ya Kujiingizia Pesa Mtandaoni Kutumia Simu Yako Ya Mkononi
Kutumia simu yako kujiingizia pesa mtandaoni ni jambo linalowezekana ukiwa unajua unabidi ufanye nini na mambo gani uyaepuke kabisa. Tuko kwenye kizazi cha kidigitali, ambapo mitandao, ikitumika vizuri, inaweza kutumika kama njia mbadala ya kujiajiri au hata kuajiriwa. Na uhitaji kuwa na mambo mengi kwa kuanzia, unaweza tumia smartphone yako. Hivyo basi, bila kupoteza muda; kwenye makala hii fupi tutaelekezana…
kainetics.blog
July 1, 2025 at 11:03 AM
Maisha Yanaweza Kubadilika Ndani Ya Sekunde: Kwa Kua Uko Hai, Hakikisha Umeishi Kikamilifu

Hizi mambo zote za kwenye ulimwengu wa IT, Computers, ma simu na teknolojia kiujumla zimeanza kuni interest toka nikiwa mdogo mno. Em tupeane backstory kidogo; Frank na IT Sikumbuki kabla sijaanza kua…
Maisha Yanaweza Kubadilika Ndani Ya Sekunde: Kwa Kua Uko Hai, Hakikisha Umeishi Kikamilifu
Hizi mambo zote za kwenye ulimwengu wa IT, Computers, ma simu na teknolojia kiujumla zimeanza kuni interest toka nikiwa mdogo mno. Em tupeane backstory kidogo; Frank na IT Sikumbuki kabla sijaanza kua obsessed na ma computer, nlikuaga na hobby gani specifically... Nadhani itakua ni kuchora. Mambo za kuchora nimekuaga nazipenda toka niko chekechea huko hivi. Haya ma hobby mengine yote ya ukubwani kwa namna moja au nyingine, yako influenced na swala zima la kukorokochoa computer.
kainetics.blog
April 4, 2025 at 4:06 AM
Katika Chochote Utakachofanya; Usiisahau ‘Kwanini’ Yako

Habari, natumaini sote tu wazima. It's been a minute toka niandike post mpya humu p blog. Mambo ya hapa na pale yalikua mengi, but hopefully nitakua naandika mara kwa mara kidogo. That said; kwenye hii makala fupi ya leo, ningependa kuongelea…
Katika Chochote Utakachofanya; Usiisahau ‘Kwanini’ Yako
Habari, natumaini sote tu wazima. It's been a minute toka niandike post mpya humu p blog. Mambo ya hapa na pale yalikua mengi, but hopefully nitakua naandika mara kwa mara kidogo. That said; kwenye hii makala fupi ya leo, ningependa kuongelea hii kitu ya swali muhimu; 'Kwanini?' ...na kwanini inabidi ulijiulize kabla ya kufanya maamuzi yeyote muhimu maishani mwako bila kusahau…
kainetics.blog
April 3, 2025 at 5:10 PM
Testing

Okayyy Test 01 Jfjfjfjfjfj Test 02 Jdjfjfjfjf Test 03 Dhdjfjjfjf Test 04
Testing
Okayyy Test 01 Jfjfjfjfjfj Test 02 Jdjfjfjfjf Test 03 Dhdjfjjfjf Test 04
kainetics.blog
April 3, 2025 at 7:31 AM
Jinsi Ya Kuingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Blogging

Kama wewe ni kijana ambae umekuwa always interested na kujiingizia pesa online ila kwa bahati mbaya hujawahi taka jaribu maana umekua ukioanisha 'kuingiza pesa mtandaoni' na hizo HYIP Investments, MLM's na hizo App zinapromise kulipa ukifanya tu…
Jinsi Ya Kuingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Blogging
Kama wewe ni kijana ambae umekuwa always interested na kujiingizia pesa online ila kwa bahati mbaya hujawahi taka jaribu maana umekua ukioanisha 'kuingiza pesa mtandaoni' na hizo HYIP Investments, MLM's na hizo App zinapromise kulipa ukifanya tu task twa ajabu ajabu kwenye simu... Basi nadhani kitu cha kwanza ambacho tutaanza nacho rasmi ni Blogging. Maana kwenye vitu vyote ntakavyoshare, hiki ndicho nakijua vizuri kuliko hayo mengine.
kainetics.blog
February 1, 2025 at 2:39 AM
Musical improvisation is the spontaneous music

It was one of the worst storms to hit London since God knows when. The thunder rolled, lightning flashed and the rain hammered into the roof. There’s something about a storm that brings a sense of doom. It fitted so perfectly. When the ITV news flash…
Musical improvisation is the spontaneous music
It was one of the worst storms to hit London since God knows when. The thunder rolled, lightning flashed and the rain hammered into the roof. There’s something about a storm that brings a sense of doom. It fitted so perfectly. When the ITV news flash sign came on the TV screen everyone looked up. When the flash sign was immediately followed by a still of…
kainetics.blog
January 31, 2025 at 11:38 PM
The meaning of health has evolved over time

In keeping with the biomedical perspective, early definitions of health focused on the theme of the body's ability to function; health was seen as a state of normal function that could be disrupted from time to time by disease. An example of such a…
The meaning of health has evolved over time
In keeping with the biomedical perspective, early definitions of health focused on the theme of the body's ability to function; health was seen as a state of normal function that could be disrupted from time to time by disease. An example of such a definition of health is: "a state characterized by anatomic, physiologic, and psychological integrity; ability to perform personally valued family, work, and community roles; ability to deal with physical, biological, psychological, and social stress".
kainetics.blog
January 31, 2025 at 11:37 PM
These Are The 10 Best Restaurants in The World

Each year, fine diners, restaurateurs and food writers—I’m in the last group—try to read the annual World’s 50 Best Restaurant list like tea leaves, searching for trends, or at the very least, a coherent theme. But as in previous years, the 2014…
These Are The 10 Best Restaurants in The World
Each year, fine diners, restaurateurs and food writers—I’m in the last group—try to read the annual World’s 50 Best Restaurant list like tea leaves, searching for trends, or at the very least, a coherent theme. But as in previous years, the 2014 edition, which was announced in London late last month, defies unifying logic. The restaurants that made the full list of 100 range from…
kainetics.blog
January 31, 2025 at 11:37 PM
3 ideas to keep you healthy and strong

Achieving and maintaining health is an ongoing process, shaped by both the evolution of health care knowledge and practices as well as personal strategies and organized interventions for staying healthy. Diet An important way to maintain your personal health…
3 ideas to keep you healthy and strong
Achieving and maintaining health is an ongoing process, shaped by both the evolution of health care knowledge and practices as well as personal strategies and organized interventions for staying healthy. Diet An important way to maintain your personal health is to have a healthy diet. A healthy diet includes a variety of plant-based and animal-based foods that provide nutrients to your body.
kainetics.blog
January 31, 2025 at 11:37 PM
Top 10 old rock songs from the 80’s

Music is an art form and cultural activity whose medium is sound organized in time. General definitions of music include common elements such as pitch (which governs melody and harmony), rhythm (and its associated concepts tempo, meter, and articulation),…
Top 10 old rock songs from the 80’s
Music is an art form and cultural activity whose medium is sound organized in time. General definitions of music include common elements such as pitch (which governs melody and harmony), rhythm (and its associated concepts tempo, meter, and articulation), dynamics (loudness and softness), and the sonic qualities of timbre and texture (which are sometimes termed the "color" of a musical sound).
kainetics.blog
January 31, 2025 at 11:37 PM
Far far away, behind the word mountains

Far far away, behind the word mountains, far from the countries Vokalia and Consonantia, there live the blind texts. Separated they live in Bookmarksgrove right at the coast of the Semantics, a large language ocean. A small river named Duden flows by their…
Far far away, behind the word mountains
Far far away, behind the word mountains, far from the countries Vokalia and Consonantia, there live the blind texts. Separated they live in Bookmarksgrove right at the coast of the Semantics, a large language ocean. A small river named Duden flows by their place and supplies it with the necessary regelialia. It is a paradisematic country, in which roasted parts of sentences fly into your mouth.
kainetics.blog
January 31, 2025 at 11:37 PM
5 Spanish Cities that will make you fall in Love

Spain is home to some of the most stunning architecture in Europe, known throughout the world for its distinguishable form and famous historical monuments. With influences from the Romans to the Moors, you’ll find each city has a unique…
5 Spanish Cities that will make you fall in Love
Spain is home to some of the most stunning architecture in Europe, known throughout the world for its distinguishable form and famous historical monuments. With influences from the Romans to the Moors, you’ll find each city has a unique architectural style. From the classic Andalusian architecture of Seville and Córdoba, to the Moorish style of Granada, the elegant Baroque and Renaissance details in…
kainetics.blog
January 31, 2025 at 11:37 PM
Apps & integrations

There are three primary ways to work with third-party services in Ghost: using Zapier, editing your theme, or using the Ghost API. Zapier You can connect your Ghost site to over 1,000 external services using the official integration with Zapier. Zapier sets up automations with…
Apps & integrations
There are three primary ways to work with third-party services in Ghost: using Zapier, editing your theme, or using the Ghost API. Zapier You can connect your Ghost site to over 1,000 external services using the official integration with Zapier. Zapier sets up automations with Triggers and Actions, which allows you to create and customise a wide range of connected applications.
kainetics.blog
January 31, 2025 at 11:37 PM
The spectacle before us was indeed sublime

Welcome, it’s great to have you here. We know that first impressions are important, so we’ve populated your new site with some initial getting started posts that will help you get familiar with everything in no time. This is the first one! A few things…
The spectacle before us was indeed sublime
Welcome, it’s great to have you here. We know that first impressions are important, so we’ve populated your new site with some initial getting started posts that will help you get familiar with everything in no time. This is the first one! A few things you should know upfront: Ghost is designed for ambitious, professional publishers who want to actively build a business around their content.
kainetics.blog
January 31, 2025 at 11:37 PM
How to make one Line Art Designs

There has never been a better time to buy a smartphone than right now, here in 2019, and your friends at T3 have worked tirelessly to compile a list of the cream of the crop. If you're looking for the best phones on the market today then you are in the right place,…
How to make one Line Art Designs
There has never been a better time to buy a smartphone than right now, here in 2019, and your friends at T3 have worked tirelessly to compile a list of the cream of the crop. If you're looking for the best phones on the market today then you are in the right place, as this guide is stuffed full of the absolute best smartphones going.
kainetics.blog
January 31, 2025 at 11:36 PM
Aina Kuu Tatu Ya Watu Ambao Hupaswi Kuruhusu Wakuzoee (Na Namna Ya Kuchagua Watu Sahihi)

Hi there, karibu kwenye makala hii ambapo nitaongelea kwa kina(kidogo) aina kuu tatu za watu ambao unabidi uwakate kabisa na kutoruhusu wawe karibu na wewe na pia nitaelezea ni namna gani unaweza kuchagua kwa…
Aina Kuu Tatu Ya Watu Ambao Hupaswi Kuruhusu Wakuzoee (Na Namna Ya Kuchagua Watu Sahihi)
Hi there, karibu kwenye makala hii ambapo nitaongelea kwa kina(kidogo) aina kuu tatu za watu ambao unabidi uwakate kabisa na kutoruhusu wawe karibu na wewe na pia nitaelezea ni namna gani unaweza kuchagua kwa usahihi watu wa kuwaweka karibu yako. Binadamu by nature ni social beings. Kwa kusema hivi, namaanisha ni moja ya viumbe ambao tuko programmed ku-survive kwa kuchangama/kujumuika na wengine.
kainetics.blog
January 31, 2025 at 4:41 AM
#RandomNote || Consistency is Key.
Kitu ambacho kinamtofautisha pro na amateur in any certain field, ni hio consistency.
Swali ni unaweza rudia kitu kile kile kila siku kwa muda, na nguvu ile ile kwa duration ya muda gani bila kuchoka au kukata tamaa?
Maana kanuni ni nyepesi. Kitu pekee…
#RandomNote || Consistency is Key. Kitu ambacho kinamtofautisha pro na amateur in any certain field, ni hio consistency. Swali ni unaweza rudia kitu kile kile kila siku kwa muda, na nguvu ile ile kwa duration ya muda gani bila kuchoka au kukata tamaa? Maana kanuni ni nyepesi. Kitu pekee kinachomtofautisha mtu aliyebobea kwenye kitu fulani na yule ambae bado ni beginner, ni jibu la hilo swali. Yule mwanafunzi anae faulu na kuongoza most of the time, (ukiacha the very few ambao wako naturally gifted) utakuta ni mtu wa msuli na kusoma sana muda wote. Na hio ndio kitu pekee inamtofautisha na yule mwanafunzi anae pata marks za kawaida. Yule athlete ambae yuko vizuri kwenye mbio, utakuta hakimbii tu wakati wa kushindana ukifika. Bali anakimbia mara kwa mara, practicing and getting used to it all na hio ndio kitu pekee ambayo most of the time lazima imtofautishe na yule ambae anakimbia mara moja moja. Iwe ni skillset yeyote ile mbali na hizo, hata iwe mfano ni kuchora; yule anaechora mara kwa mara, eventually michoro yake itakua bora kuliko yule anaechora mara moja moja, hata kama ni naturally gifted. Wanasema practice makes perfect. Sema hata kufanya kitu ile ile mara nyingi zaidi hata ukishajua kua tayari ni bora, ndiyo trick inayoweza kua imebaki kuanza kuona significant results/changes. Mtu ambae anajiwekea akiba mara moja moja every few months. Na yule ambae anaweka akiba kila mwisho wa mwezi au mwisho wa week hawawezi kulingana. Mwimbaji anaefanya mazoezi mara kwa mara nae pia huwezi kumfananisha na yule ambae anaimba ikitokea tu chance ya kuimba. Mifano iko mingi. So the trick kwa hapa hivi ni kua consistent in whatever you do. Kuna ka quote nimesoka mahali kua either uwe obssessed au uwe average. So be obsessed na hio kitu unafanya whatever it might be. Alafu hii ndio mara ya kwanza naandika hizi social notes…so bado sijui zinafunction vipi. Em nione, but if they are good nazo nitakua naandika mara moja moja. #Kainetics  
kainetics.blog
January 23, 2025 at 8:07 PM