Hawa watu ndiyo waliokuwa wezi na wala rushwa wakubwa wakiongizwa na January Makamba na Farouk Baghoza na kwa kiasi kikubwa sana wameharibu sekta nzima ya mafuta nchini Tanzania
Ni jambo jema wanang'olewa sasa!

We have a new logo! 🦋
Bluesky is emerging from its cocoon of clouds to transform into a social butterfly. Read more about why we chose this logo here: blueskyweb.xyz/blog/12-21-2...

Haya sasa mwanaharakati wao anapikwa na kukaangwa haswa!.

Maelefu ya watu waliojipanga barabarani wakiwa na vigoma ghafla walilipuka kwa hoihoi ,nderemo na virojo pale msafara wa Mheshimiwa Rais Samia ulipowasili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mangaka wilaya ya Nanyumbu ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika mikoa ya Kusini aliyoianza tarehe 15 Septemba, 2023.
#KigogoMediaUpdates

Manchester United ambayo inafundishwa na kocha mwenye kipara Ten Hag imekumbwa na vipigo mfululizo ambavyo haviwezi kuelezeka kwa kuwa ni vipigo vikali sana.

Hii hi ziara ya kwanza ya Mheshimiwa waziri Innocent Bashungwa kwenye ofisi za TANROADS toka ateuliwe kushika uwaziri wa ujenzi

Ameshauwa watu ndani ya ofisi ya CAG, kishauwa mfanyakazi wa TRA lakini bado yuko kwenye ofisi za umma
INASIKITISHA

• Threads now sort replies by likes
• Fixes to the sync of moderation settings (adult content) between devices
• Improvements to the logged out UI on web
• The web app now correctly resizes for narrower screens
• Additional bugfixes, of course

Mtu huyu ni hatari sana na ndiye msuka mipango ya rushwa na January Makamba akiwa waziri
Mtu huyu ni hatari sana na ndiye msuka mipango ya rushwa na January Makamba akiwa waziri
#KigogoMediaUpdates
#KigogoMediaUpdates
Kama ambavyo mmekuwa mnawasema CCM kuwa mikutano yao wanajaa watoto wadogo , na nyie tunawauliza hawa ni watu wazima?Watoto hawa hawatakuja kupiga kura. Hivyo msije sema mmeibiwa kura

January Makamba kaiingiza nchi kwenye shida kubwa sana kwa kupenda rushwa mpaka mfumo wa kuagizi mafuta umekufa kabisa. Hawa watu wakitakiwa kuwa jela hivi sasa